Verse 1: Ben Pol
Nimeamini raha ya upendo ikipotea huwa karaha,
Sikutaraji kama leo hii nitabaki na jeraha,
My number one fan, tatizo ni wewe umefanya anitose
Wakati bado nampenda nafsi imejawa upendo wake x 2
Sikujua dhamira iliyokufanya we uwe karibu nami
Nafsi inanisuuta kwa kumkwaza hana hata raha moyoni
Alidai anaenda ili atuache mimi na wee
Na mi sitaki kupoteza penzi lake nifanyejee
Chorus
You just my number one fan
She is the one and I love her
She is everything in ma life
My dreams depend on her x 2
Verse 2: Ben Pol
Mi sijui hata nini nitafanya maana mpenzi hutaki
nielewa
Ninakuomba kwa mara nyingine tena nisemehe we ndo
nakupenda
Mwanzoni alidai anapenda nyimbo zangu jinsi
navyoimba
Akasema angefurahi angepata muda wangu ajifunze
kuimba
Kumbe nia yake haikiuwa vile mi nilivyodhania
Kumbe shida yake ilikuwa ile mpenzi ulivyonambia
Kumbe nia yake haikiuwa vile mi nilivyodhania
Kweli shida yake ilikuwa ile mpenzi uliyonambia
Sasa najutia ubishi wangu mimi na kukupuzia
Eti nisahau kuhusu wewe sababu yupo yeye ndivyo
alivyonitamkia x 2
Chorus
You just my number one fan
She is the one and I love her
She is everything in ma life
My dreams depend on her x 4
No comments:
Post a Comment