Intro:
Ni MwanaFA
Yupo na Dully Sykes
Silent Ocean
Inna Mi Yard
Keeping The Good Music Alive
Yessayah
Chorus:
Ameen/Ameen Ameen/Mungu niongezee/
Ameen/Ameen Ameen/
Nishike mkono niongozee *2
Verse 1: MwanaFA
Ziende,on and on kama Eryka Badu/wafahamu sababu/ni heshima kwa Mungu/
Nishike mkono niongozee *2
Verse 1: MwanaFA
Ziende,on and on kama Eryka Badu/wafahamu sababu/ni heshima kwa Mungu/
Natembea kifua mbele yote sababu ya wewe/wote wanaojipindua mwisho
wanasanda wenyewe/
Binamu yangu Masumbuko ananisikia hata akiwa
jela/jinsi nakinukisha na bado juhudi na sala/
Naomba hekima za
Suleiman/sio miguvu ya bure/hata kauli zangu ndogo zionyeshe nilienda
shule/
Maadui wafunge mikono nimewazidi wape ishara/wape akili za hasara
wachezee kazi na mshahara/
Ikidunda sana inakaribia kupasuka/yangu ikeshe
isiishe leo hata wajukuu wanaikuta/
Bora kuchekwa kuliko kuchekwa sana
wanaonipinga waumize,Mungu nakomba sana/
Uwape umri mrefu wa kwangu na wa
babu yangu/ili roho zao ziumie wakiona mabalaa yangu/Amen..
Chorus:
Ameen/Ameen Ameen/Mungu niongezee/
Ameen/Ameen Ameen/
Nishike mkono niongozee *2
Verse 2: MwanaFA
Nisichokijua hakiwezi kunisumbua/wakisema mabaya yashindwe kunifikia/
Chorus:
Ameen/Ameen Ameen/Mungu niongezee/
Ameen/Ameen Ameen/
Nishike mkono niongozee *2
Verse 2: MwanaFA
Nisichokijua hakiwezi kunisumbua/wakisema mabaya yashindwe kunifikia/
Wape kismati cha paka cha kupendwa na wachawi/mi naomba cha
pesa na kwa ujinga niwe kiziwi/
Wape wanawake wazee na mafukara halafu
wagonjwa/ama mabwana mabwabwa wasiogonga kabla ya kugongwa/
Wanaomba
nisiwe na kitu ili niombe waninyanyase/dhiki inijae vyote vya kwangu
wavipate/
Kuna viumbe hata huwajui na bado wana beef na wewe/kama
wanichukue msukule nisionekane wabaki wenyewe/
Naishi kwa
kudra,baraka,matakwa yako/siwezi nikachemsha kama ukibaki upande
nilipo/
Competition is irrelevant/with you by my side/nafanya siongei na
wanajua mi ni mastermind/
Haraka zaidi yao/uchungu zaidi yao/ukubwa au
udogo wa tatizo unaletwa na akili zao/it's a wrap
Chorus:
Ameen/Ameen Ameen/Mungu niongezee/
Ameen/Ameen Ameen/
Nishike mkono niongozee
Bridge:
Mi nna haraka zaidi yao/pia hata uchungu zaidi/ rhumba,likinipiga,nazidi kukugeukia kwako Muweza/zaidi yao/pia hata uchungu zaidi/ rhumba,likinipiga,nazidi kukugeukia kwako Muweza/
Chorus:
Ameen/Ameen Ameen/Mungu niongezee/
Ameen/Ameen Ameen/
Nishike mkono niongozee
Bridge:
Mi nna haraka zaidi yao/pia hata uchungu zaidi/
END!
The Track is in reggae/riddim genre done by Dully's new studio known as "Dec 4th Studios", some tight lyrics from yo cousin AS USUAL!! Let Your Ears hear this. Yo' Boi deserves some credits...
Holla @ me with ya comment down below. One!
No comments:
Post a Comment